TOP 10 YA SIMU ZENYE KAMERA KALI KWA SASA DUNIANI - EDUSPORTSTZ

Latest

TOP 10 YA SIMU ZENYE KAMERA KALI KWA SASA DUNIANI

 


Kupitia mtando wa Dxomark, ambao umejikita Zaidi kwenye kupima ubora wa kamera, sauti, vioo na betri za vifaa mbali mbali vya kieletroniki,  hii ndo top 10 ya simu zenye kamera kali kwa sasa.

Apple iPhone 12 Pro

Hii ni simu kutoka kampuni ya Apple. Ilitolewa October 2020, kamera yake kuu ina 12MP. Simu hii imeweza kujikusanyia pointi 128 kwenye upande wa kamera  ambazo zinaifanya ikae nafasi ya kumi.

Apple iPhone 12 Pro Max

Hii ni simu nyingine kutoka kampuni ya Apple. Ilitolewa October 2020, kamera yake kuu ina 12MP ila lenzi yake ni kubwa kuliko iPhone 12 Pro. Simu hii imeweza kujikusanyia pointi 130 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ikae nafasi ya tisa.

Vivo X50 Pro+

Hii ni simu kutoka kampuni ya Vivo na ilitolewa June 2020. Kamera yake kuu ina 50MP. Simu hii imeweza kujikusanyia pointi 131 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ifike nafasi ya nane.

8.Oppo Find X3 Pro

Hii ni simu kutoka kampuni ya Oppo na ilitolewa March 2021. Kamera yake kuu ina 50MP. Simu hii imeweza kujikusanyia pointi 131 ikiwa imefungana na Vivo X50 pro+ kwenye nafasi ya nane.

6.Huawei P40 Pro

Hii ni simu kutoka kampuni ya Hauwei na ilitolewa March 2020. Kamera yake kuu ina 50MP. Simu imejikusanyia pointi 132 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ifike nafasi ya sita.

5.Xiaomi Mi 10 Ultra

Hii ni simu kutoka kampuni ya Xiaomi na ilitolewa August 2020,kamera yake kuu ina  48MP. Imejikusanyia pointi 133 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ifike nafasi ya tano.

4.Huawei Mate 40 Pro

Hii ni simu kutoka kampuni ya Hauwei,ilitolewa October 2020,kamera yake kuu ina 50MP. Imejikusanyia pointi 136 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ifike nafasi ya nne.

3.Huawei Mate 40 Pro+

Hii ni simu kutoka kampuni ya Hauwei,ilitolewa October 2020,kamera yake kuu ina 50MP. Imejikusanyia pointi 139 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ifike nafasi ya tatu.

2.Xiaomi Mi 11 Ultra

Hii ni simu kutoka kampuni ya Xiaomi,ilitolewa April 2021,kamera yake kuu ina  50MP. Imejikusanyia pointi 143 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ifike nafasi ya pili.

1.Huawei P50 Pro

Hii ni simu kutoka kampuni ya Hauwei,ilitolewa July 2021,kamera yake kuu ina 50MP. Imejikusanyia pointi 144 kwenye upande wa kamera ambazo zinaifanya ifike nafasi ya kwanza.

Contributor: Thomas Nyakia

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz