Tishu aliyoitumia Messi kufuta machozi akiaga Barcelona yapigwa mnada inauzwa Tsh bil 2 - EDUSPORTSTZ

Latest

Tishu aliyoitumia Messi kufuta machozi akiaga Barcelona yapigwa mnada inauzwa Tsh bil 2Tarehe 8/8/2021 mchezaji maarufu wa Mpira wa miguu Duniani, @leomessi alikuwa anawaaga mashabiki wa klabu hiyo aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka 20.Akiwa anawaaga kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari, Messi alipnekana akibubujikwa machozi huku akichukua tishu akijifuta machozi. Sasa wakati ile Press Conference imeisha, Kuna muandishi wa habari shabiki kidakidaki wa Messi, Akachukua ile Tishu na kuondoka nayo.

Jamaa kwa sasa ameiweka kwenye mtandao na anaiuza kwa Dola Milioni $1 sawa na Tsh. Bilioni 2.3 . Kwenye mauzo hayo, Ameweka pia na jezi ya Messi na watu wanaonekana kutamani kununua kwenye Tishu hiyo.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz