TBC yaingia mkataba wa mabilioni na TFF - EDUSPORTSTZ

Latest

TBC yaingia mkataba wa mabilioni na TFF




Shirika la utangazaji nchini (TBC) limeingia mkataba wa miaka 10 na Shirikisho la Soka nchni (TFF) wa kurusha matangazo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa upande wa redio.

Mkataba huo wa miaka 10 una thamani ya shilingi bilioni 3.54 na utaanza kwenye msimu wa 2021-2022.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz