Tanzia: Waziri Kwandikwa Afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzia: Waziri Kwandikwa Afariki DuniaTaarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Elias John Kwandikwa amefariki Dunia Jijini Dar Es salaam leo Jumatatu Agosti 2,2021 alipokuwa akipatiwa matibabu.

Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa amethibitisha pia taarifa hizo.

“Nimepokea taarifa za msiba huu mzito kutoka uongozi wa CCM wilaya ya Kahama, Mpendwa wetu alikuwa anaendelea na matibabu jijini Dar es salaam”.

Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Elias Kwandikwa, Amen!
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz