Sunday Manara: Yanga Hatukustahili Kufungwa, Haji Sio Msaliti - EDUSPORTSTZ

Latest

Sunday Manara: Yanga Hatukustahili Kufungwa, Haji Sio Msaliti 
MZEE Sunday Mnara, baba mzazi wa Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ambaye ni ingizo jipya kutoka Simba, amesema kuwa kufungwa kwenye mchezo wa majaribio ni jambo la kawaida kwa kuwa jana kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Zanaco.

 Amesema kuwa ukweli ni kwamba uongozi wa Yanga unatakiwa kukaa na benchi la ufundi ili kuweza kuongea naye ili waweze kushinda kwa kuwa hawakustahili kushindwa
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz