Rosa Ree "Niko Tayari Kufanya Collabo na Frida Amani na Chemical Baada ya Mashabiki Kutaka Hilo" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Rosa Ree "Niko Tayari Kufanya Collabo na Frida Amani na Chemical Baada ya Mashabiki Kutaka Hilo"

Inavyoelekea Mashabiki wana kiu kubwa ya kuona Wadada watatu wanashikilia game ya Hip Hop Bongo Wakifanya Collabo

Hivi majuzi Msanii Rosa Ree aliuliza Swali kuwa ni Msanii gani wa kike afanye nae Collabo kutoka Tanzania, Post hiyo Instagram ilipata zaidi ya comments 1700 nyingi zikipendekeza Frida Amani na Chemical, Sasa Rosa Ree ameonekana kuwa na utayari huo kwani baada ya siku tatu alipost picha ya Frida na Chemical kuwa ndio wamependekezwa sana na yupo tayari au labda collabo ishafanywa tayari. 

ROSA aliandika haya:

So nimegundua mnahitaji sanaaaaa kusikia colabo kati yangu na rappers wa kike kutoka hapa Tanzania kwenye album yangu. Basi kama yupo ambaye unamuaminia kabisa na ni wa motooooo comment kwenye hii post Alafu tutafanikisha jambo! LESSSGOOOOOOπŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Baada ya siku tatu Rosa_ree aliandika haya kuhusu Frida na Chemical

Itssss about timeeeeeee!!!! Msikie track moja kati ya @fridaamaniofficial @chemical_tz na GODDESSSS! Au mnasemaje???? Mhhh sijui itakuajeeee….. #StayTuned issss gonn be


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz