HomeUdaku Rasmi Sasa Mchezaji Christiano Ronaldo Arejea na Kujiunga na Man United bymafekeche -Saturday, August 28, 2021 0 Manchester United imetangaza kuwa imefikia makubaliano na Juventus ili kumsajili, Cristiano Ronaldo - Ronaldo aliyeondoka mapema leo katika mazoezi ya Juventus anafanya makubaliano binafsi na Man. Utd kabla ya vipimo vya Afya
Post a Comment