RASMI: LIONEL MESSI KUONDOKA BARCELONA - EDUSPORTSTZ

Latest

RASMI: LIONEL MESSI KUONDOKA BARCELONABarcelona imethibitisha kuwa Mchezaji wao mahiri, Lionel Messi ataondoka Klabuni hapo kutokana na vikwazo vya kimfumo na kifedha (Sheria za Ligi ya Uhispania)

Klabu imesema yenyewe pamoja na Messi wamesikitishwa na hatua hiyo kwani awali pande zote mbili ziliridhia kuongeza mkataba wa Mchezaji huyo, uliosha mwezi uliopita

Messi aliyeichezea Barca michezo 778 na kufunga magoli 672, kutoa ‘assist’ 305 na kushinda mataji 35, anahusishwa zaidi kuhamia katika klabu ya Manchester City au PSG

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz