Nandy "Sijasainiwa na MR Eazi Mimi ni Msanii wa Kujitegema - EDUSPORTSTZ

Latest

Nandy "Sijasainiwa na MR Eazi Mimi ni Msanii wa Kujitegema


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa @officialnandy Ameandika...........''MIMI NA MR EAZ NI BUSINESS PATNERS SIO KWENYE MZIKI TU HATA BIASHARA SABABU KUTOA MZIKI KUNA VITU VINGI NYUMA YA MZIKI WETU!! MASWALI YAMEKUWA MENGI SANA PAGE ZINAANDIKA SANA MARA NIME SAINIWA MARA IV MARA VILE NOO GUYS ME NI MSANII NINAYE JITEGEMEA NA KUSHIRIKIANA NA WAFANYA BIASHARA WENZANGU. PUNGUZENI HABARI FAKEDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz