Mwana FA Amjibu Babu Tale "V8 Kaeni Nazo Leteni Mikanda Tupiganie" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mwana FA Amjibu Babu Tale "V8 Kaeni Nazo Leteni Mikanda Tupiganie"


BABU TALE ATULIE TU,KIDUKU NA MWAKINYO NI ARDHI NA MBINGU๐Ÿ‘‡

Baada ya meneja wa Diamond Platnumz na Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki, @babutale kumuomba mwanamuziki na mbunge pia wa Muheza Tanga, @mwanafa aongee na Hassan Mwakinyo kuhusu kukipiga na Twaha Kiduku huku V8 ya 2020 ikiwekwa kama kombe linaloshindaniwa,Mwana FA amemjibu Babu Tale.

Tunaelewa hawa ni watu wanaotoka sehemu mbili zinazo wakilishwa na mabondia bora nchini kwasasa yaani Morogoro kwa Babu Tale ni Twaha Kiduku na Tanga kwa Mwana FA ni Hassan Mwakinyo.

Tofauti ya hawa mabondia ni kuwa @hassan_mwakinyo_jr ni Super Welterweight mwenye nyota nne akiwa nafasi ya kwanza Afrika na namba 24 Duniani wakati @twaha_kiduku yeye ni Middleweight na namba zake bado hazijulikani.

Jibu la Mwana FA kwa Babu Tale ni kuwa ,si muda wa kuwekeana Magari ni muda wa mikanda na kama ni ishu ya mikanda hili pambano haliwezi tokea maana watu hawa wanapambana kwenye uzito tofauti๐Ÿ‘‡

“Shoo Shoo kweli leo mmetisha sana, Sema V8 kaeni nayo kwanza,leteni mikanda tupiganie”


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz