Maskini Haji Manara Ajitokeza na Kutoa Sababu za Kuwakacha EFM Leo Asubuhi.. "Nilipata Ajali" - EDUSPORTSTZ

Latest

Maskini Haji Manara Ajitokeza na Kutoa Sababu za Kuwakacha EFM Leo Asubuhi.. "Nilipata Ajali"


Msemaji wa Yanga @HajisManara amekiri kupata ajali ‘mbaya’ ya gari jana usiku Jijini Dar es salaam na kusema alinusurika kwenye ajali hiyo ambayo imeliacha gari lake likiwa limeharibika vibaya.

Haji ameyasema hayo wakati akieleza sababu zilizomfanya ashindwe kufika kwenye mahojiano na kituo cha Radio cha Efm leo asubuhi ambapo ameandika

"Usiku wa jana nilinusurika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na kusababisha kuharibika vibaya, hadi kuja kulala ilikuwa ni mida mibaya ya usiku mkubwa"
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz