Mange Kimambi Asherehekea Mtandaoni Baada ya Mtoto Wake Kupata A zote High School - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Asherehekea Mtandaoni Baada ya Mtoto Wake Kupata A zote High SchoolAmeandika Haya katika Ukurasa wake Instagram:

Nimeamka nna rahaaaaa…Jamani mwenzenu binti yangu anaanza degree yake ya sheria mwezi ujao at Durham University in UK. Kapata A zooooote A-level, yani kibongo bongo ni division 1 ya ukweli πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ. Najihisi kama nimemaliza kulea sina wasiwasi tena. Hawa wakiume acha wawatie mimba mabinti zenu, Im kidding 

Ambao bado mnalea watoto wa kike, Mungu awasaidie kama alivyonisaidia mimi. Ila kina Kenzo wakiwapitia wabinti zenu mi simo 

Hapa bank account yangu inakaribia kufika zero balance maana kila nikikumbuka Bhoke wangu anaingia chuo kikuu namtumia vipaundi. Na ma aunty zake kina @the_ironlady1976 wamenitumia $$ nimtumie mtoto wao. Mwanangu Cassandrah hela zako from kina Aunty zinakujaaaaa. Umejua kunitoa kimasomaso mamako. Acha nikate viuno tu.  

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz