"Manara Aluwekwa Jela Sababu ya Mo Dewji, Nikamuuliza Unapata Faida Gani " Baba wa Haji Manara - EDUSPORTSTZ

Latest

"Manara Aluwekwa Jela Sababu ya Mo Dewji, Nikamuuliza Unapata Faida Gani " Baba wa Haji Manara"Kuna wakati Haji aliwekwa ndani kwa ajili ya kumtetea Mo kama mnakumbuka, baada ya kutoka mimi nikamuuliza unapata faida gani?" "Tangu zamani Haji amekuwa anatukanwa peke yake mitandaoni kwa ajili ya Simba lakini amekuwa akinyanyasika sana, sisemi kwamba hajapata faida lakini amehangaika sana mwenyewe" - Mzee Sunday Manara.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz