Majizo "Nilishakuwa na Wanawake Kibao ila Lulu Michael ni Wakipekee Sana" - EDUSPORTSTZ

Latest

Majizo "Nilishakuwa na Wanawake Kibao ila Lulu Michael ni Wakipekee Sana"



CEO Wa Efm na TvE Bwana Francis Ciza Maarufu Kama "Majizo" Amemwagia Sifa Kibao Mama Wa Mtoto wake Ambaye Ni Elizabeth Michael "Lulu" Kuwa Ni Mwanamke Sahihi kwenye Maisha yake na Alikuwa na Ndoto ya Kuwa na Mwanamke Kama Yeye.

"Kwenye Makuzi Yangu Nimekuwa na Wanawake Kibao wa Tofauti Tofauti Ila Elizabeth Ni Mwanamke wa Tofauti Kabisa Anaroho Safi Sana Nilitamani Sana Kuwa na Mwanamke Kama Yeye Nashukuru Sana MUNGU kwa Kunipa Yeye"-Amefunguka Majizo





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz