Lulu Diva na Fred Vunja Bei Mahaba Mazito "Lulu Diva Atia Neno" - EDUSPORTSTZ

Latest

Lulu Diva na Fred Vunja Bei Mahaba Mazito "Lulu Diva Atia Neno"



Msanii wa Bongo Flava na muigizaji wa tamthilia nchini Lulu Diva amekanusha kuwa kwenye uhusiano na mfanyabiashara maarufu nchini Fred Vunjabei hii ni baada ya picha waliopiga pamoja siku kadhaa nyuma na Lulu akiipost kwa caption zenye mahaba ndani yake.

Akiliiweka sawa kwenye Empire ya E-FM, Lulu Diva amedai walikutana na Vunja Bei kwenye ndege wakiwa safarini hivyo na kupiga picha tu, kilichokuwa kikiendelea kati yao si kama watu wanavyotafsiri.

Lulu alipost picha hiyo wakiwa wawili na tajiri huyo akiisindikiza kwa caption iliyosomeka👇
Bora ukaacha kufatilia kama babe wako anacheat, fatilia kama ana furaha @fred_vunjabei ”




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz