Licha ya Manara Kukacha Kipindi Chao, Gerald Hando na Maulid Kitenge Wampongeza Haji Manara - EDUSPORTSTZ

Latest

Licha ya Manara Kukacha Kipindi Chao, Gerald Hando na Maulid Kitenge Wampongeza Haji Manara


Licha ya kwamba @hajismanara hajaja kwenye kipindi cha Efm kama ilivyokuwa imepangwa, Watangazaji wa Kipindi hicho cha Asubuhi @maulidkitenge9 na @geraldhando wamempongeza sana Haji Manara kwa kazi aliyoifanya, kwamba jana alifanya kazi nzuri na kubwa

Kwa ujumla wanasema Yanga wamepatia sana kumsajili Haji Manara kwa mpira wa leo sio Hoya Hoya bali ni biashara, Manara ameamsha hari mpaka jezi za Yanga zimeuzwa zote na kujaza ule uwanja
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz