Kumekucha..Huyu Hapa Askari wa Barabarani wa Kundi la Taleban Huku Afghanistan - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha..Huyu Hapa Askari wa Barabarani wa Kundi la Taleban Huku Afghanistan


Askari wa usalama barabarani wa kundi la Taliban, akiongoza magari katika mji wa Kandahar uliopo kusini mwa Afghanistan. Tangu jana wanamgambo wa Taliban wamerejea tena nchini Afghanistan na kushika madaraka baada ya kufurushwa na majeshi ya Marekani mwaka 2001.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz