Kondakta wa Dalala Afunguka Meneno Aliyoyasikia Kutoka Kwa Hamza Aliyekuwa Askari Kwa Mjegeje - EDUSPORTSTZ

Latest

Kondakta wa Dalala Afunguka Meneno Aliyoyasikia Kutoka Kwa Hamza Aliyekuwa Askari Kwa Mjegeje


Video zote ambazo wengi wetu tumezitazama za Hamza kabla ya kufariki hazina sauti ya kile alichokua anakiongea, kila mmoja anatamani kufahamu alikua anaongea nini, alikua anasema nini.... sasa @AyoTV_ japo kwa ufupi imelitafuta gari aina ya daladala iliyokua karibu yake na kuipata ili Kondakta atuambie Hamza alisema nini sababu alisimama kwa muda pembeni ya daladala hii na kuongea.

"Nilimsikia akisema Watu wanamdharau Allah, maneno mengine sikuyaelewa alikuwa kama anaongea kama Kisomali vile, Abiria walikuwa wanalazimisha nifungue mlango, Jamaa alipopita tukatoa gari tukatembea" ——— Kondakta.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz