Kesi ya IDRIS Sultan ya Makosa ya Kimtandao Yafutwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Kesi ya IDRIS Sultan ya Makosa ya Kimtandao Yafutwa

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imeifuta kesi ya upandishaji wa maudhui mitandaoni bila kibali, iliyokuwa ikiwakabili muigizaji Idris Rashid Sultan, pamoja na meneja wake Docta Ibrahim Ulimwengu na mchekeshaji Isihaka Hassan Mwinyimvua (Wong Lee).

Kesi hiyo iliyosikilizwa mbele ya hakimu Lubologa imefutwa kufuatia uamuzi wa mkurugenzi wa mashitaka (DPP) wa kutoendelea na kesi hiyo uliotolewa kwenye barua iliyotumwa mahakamani Kisutu leo tarehe 17 Agosti, 2021.

Tarehe 18, Machi mwaka 2020, Idris Sultan pamoja na wenzake wawili walifikishwa mbele ya mahakama ya Kisutu kwa kosa la kupandisha maudhui bila kibali kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz