Michezo, Matokeo, ajira, Livescore,msimamo wa ligi
KANYE WEST ajichoma moto mwili mzima, afuta Verse za Jay Z, ampandisha kim akiwa ndani ya shera
bymafekeche-
0
Kanye West usiku wa alhamisi ya august 26 alifanya album listening party ya DONDA na kuwashangaza wengi baada ya kujichoma moto, kufuta verse za aliyekuwa mhasimu wake Jay Z na kumuweka Da Baby, kubwa ni Kim Kardashian kutokea ndani ya shera na kumfuata Kanye kwenye jukwaa
Post a Comment