Joyce Kiria afunguka kufuatia kusambaa kwa video chafu ya kina Mama J - EDUSPORTSTZ

Latest

Joyce Kiria afunguka kufuatia kusambaa kwa video chafu ya kina Mama J


Joyce Kiria afunguka kufuatia kusambaa kwa video chafu ya kina Mama J

"Hii video imenisikitisha sana….. kwa alieiona anaelewa video nayozungumzia hapa…

Huyu dada anasema kwenye hii video kwamba kama video zake zitavuja and atakufa… sasa picha za dyadya ndo kama ivo video zake zimeshavuja, sa itakuwajeeee. 

Kilichonisikitisha mimi ni kwamba dyadya anatoa ushirikiano kwenye video anazochukuliwa na huyu bwanaake kwa asilimia zoteeeee OMG. 

Ivi wanawake Wenzangu huwa mnapata wapi ujasiri wa kuchukuliwa video za ngono?  uuuuuuwi 

Yaani mimi mwanaume akithubutu tuu kunipigia video call ya kawaida tuu hapo sijapokea simu aombe picha chafu wanazoombaga, yani video call sipokei na kinachofuata ni kofuli kubwaaaa, anakula blokuuuuuu. 

Sasa sielewi nyie wenzangu inakuwaje eti mwanaume anachukua simu anarekodi mauchafu yenu na wewe mwanamke upo unatoa ushirikiano tena unakenuakenua  kabisa kwenye kamera alafu unajifanya eti picha zikivuja utakufa fyuuuuuu. 

KIUKWELI HAPA WA KULAUMIWA MIMI NAONA NI MWANAMKE AMBAE UNAKUBALI UJINGA HUU WA KUCHUKULIWA MAPICHA MACHAFU, UNAMWAMINIJE BINADAMU AKAE NA PICHA ZAKO ZA UTUPU???? "  
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz