Jose Chameleone mahututi alazwa hospitali kwa tatizo hili

 
Staa mkubwa wa muziki barani Afrika anayetokea nchini Uganda Joseph Mayanja alimaarufu Jose Chameleone mwenye umri wa miaka 42 ameelezwa kulazwa hospitalini akisumbuliwa na tatizo la Ini na Kongosho.

Taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Uganda zinaeleza kuwa Chameleone amelazwa kwa tatizo hilo ambalo limekuwa likimsumbua kwa muda kidogo.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post