JINSI DAKTARI TAJIKA WA MITI SHAMBA ALINIWEZESHA KUASI TABIA YA UVUTAJI SIGARA, MAPAFU YANGU YALIKUWA MABOVU - EDUSPORTSTZ

Latest


 

JINSI DAKTARI TAJIKA WA MITI SHAMBA ALINIWEZESHA KUASI TABIA YA UVUTAJI SIGARA, MAPAFU YANGU YALIKUWA MABOVU

JINSI DAKTARI TAJIKA WA MITI SHAMBA ALINIWEZESHA KUASI TABIA YA UVUTAJI SIGARA, MAPAFU YANGU YALIKUWA MABOVU


Uraibu wa kitu chochote huwa ni vigumu kuacha haswa kama ni mihadarati. Uraibu wa kitu huwa ni swala ambalo huwa linawakwaza watu wengi na mara nyingi watu wengi husema wataacha tabia fulani lakini mwishowe wao hujipata katika njia panda kwani wao hurudia tabia zile kila uchao. Uvutaji sigara ni swala amabalo ama kwa hakika huwa tishio ama vigumu sana kwa watu kuasi. Mraibu yeyote wa sigara huwa na wakati mgumu maishani kwani hawei fanya lolote bila ya kuvuta moshi wa sigara.

Nilikuwa na shida ya kuvuta sigara na mara nyingi nilijipata kwenye njia panda kwani uvutaji huo ulikuwa umeharibu kabisa mapafu yangu kama picha ya Xray ilivyoonyesha. Mke wangu alikuwa hapo awali amenionya kutokana na tabia ile lakini niliendelea kuvuta sigara. Ama kwa hakika kila starehe huwa gharama na kweli uvutaji wa sigara ulinifanya kutumia pesa nyingi hata zaidi.

Kila siku nilikuwa navuta paketi moja iliyogharimu shilingi mia nne. Nikiwa afisini nilikuwa kila mara naondoka kwenye tarakilishi yangu na kukimbia chooni kwa ajili ya kutimiza haja ya kuvuta sigara. Kuasi uvutaji wa sigar ama kwa hakika ilikuwa ni vigumu kwangu. Nilipokaa muda mrefu bila ya kuvuta sigara nilikuwa mtu mwenye hasira na asiye mchangamfu katika kila hali. Watu waliokuwa kando yangu ndio walioniambia swala lile.

Kila nilipoingia kwenye nyumba yangu nilijipata tu navuta sigara hata mbele ya wanangu na kila nilipomaliza nilijipata najiuliza nini nilichokuwa nafanya. Kiu ya sigara iliponijia nilikua navuta tu hata kabla ya kufikiria nilipkuwa. Hata kama nilikuwa nafanya tendo la ndoa na kiu imefika nilivuta sigara kwanza ili niendelee na mchezo. Ama kwa hakika nilikuwa mraibu ajabu. Mke wangu alikuwa amelalamikia swala hili sana lakini yote yalitua kwenye sikio la kufa. Kama wangekuwa wakituza wavutaji wa sigara na zawadi basi ningeibukia kuwa mshindi kila mara kwani nilikuwa bingwa katika uvutaji wa sigara.

Nilitamani kuasi kabisa tabia ile kwani mapafu yangu ayalikuwa yameathirika kabisa hali iliyopelekea niwe na shida ya kupumua. Nilimwelezea ndugu yangu kuhusu hali ile na hapo akanielekeza kwa dakatari wa tiba asilia aliyejulikana kama daktari Kiwanga. Nilifunga safari kutoka mjini Kakamega nilipokuwa nikiishi hadi kwa daktari Kiwanga mjini Kericho kwa ajili ya usaidizi wake.

KIWANGA ATAMALIZA SHIDA ZAKO>>CHAT NAYE HAPA


Nilifika kwenye afisi zake na hapo akaniambia kwamba hata nilikuwa naugua kiharusi kwa ajili ya uraibu wangu wa uvutaji sigara. Alinipa dawa ya miti shamba ambayo nilikubnywa ili nkwanza kuosha mapafu yangu. Baadaye alinipa dawa nyingine ambayo alisema ingemaliza kiharusi nilichokuwa naugua kwa wakati ule. Aliniahidi kwamba kutoka pale hakuna hata siku moja ambayo ningetamani kuvuta sigara kwani alikuwa amefunga kiu kile kabisa.

Nilirejea nyumbani na baraba\rani nilitembea na kuona watu wakivuta sigara lakini sikuwa na kiu hata kidogo. Nilipomweleza mke wangu hakuamini na kila mara alibaki amenichunguza ambapo baadaye alipata ni ukweli kwamba nilikuwa nimehasi kabisa uvutaji wa sigara.

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutibu mambo kadhaa yanayokusumbua maishani kama vile kukukinga kutokana na nguvu za mazingaombwe yanayoletwa na adui zako kukumaliza. Ana uwezo pia wa kukinga bishara yako inawri kwa kuzuia wezi kukuibia kwa wakati wowote ule. Anatibu magonjwa kama vile kisonono, kaswende na mengineyo kwa kwa muda wa siku tatu pekee. Kwa mengi zaidi wasiliana nao kupitia barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama kwenye wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kuwasiliana nao kupitia nambari ya simu +254 769404965.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz