IGP Sirro Atoa Tamko Kuhusu Mwili wa Hamza "Waje Wauchukue la Sivyo Utazikwa na Manispaa" - EDUSPORTSTZ

Latest

IGP Sirro Atoa Tamko Kuhusu Mwili wa Hamza "Waje Wauchukue la Sivyo Utazikwa na Manispaa"


 

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro amesema kuwa ndugu wa Hamza Hassan Mohammed aliyeua askari wanne kabla yay eye kuuawa na polisi wanaweza kwenda kuchukua mwili wa ndugu yao.

Sirro amesema iwapo ndugu watachelewa basi mwili huo unaweza kuzikwa na manispaa.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz