Idris Sultan Mtanzania pekee Ambaye Ametokea Kwenye Orodha ya Mastaa wa Dunia Ambao Wametengeneza Pesa Ndefu Kupitia Mtandao wa instagram - EDUSPORTSTZ

Latest

Idris Sultan Mtanzania pekee Ambaye Ametokea Kwenye Orodha ya Mastaa wa Dunia Ambao Wametengeneza Pesa Ndefu Kupitia Mtandao wa instagram


Mchekeshaji @idrissultan ndiye Mtanzania pekee ambaye ametokea kwenye orodha ya mastaa wa dunia ambao wametengeneza pesa ndefu kupitia mtandao wa instagram mwaka 2021 (Instagram Rich List), kwa mujibu wa tovuti ya #HopperHQ.

Idris Sultan mwenye jumla ya wafuasi 7M yupo kwenye nafasi ya 108, akitajwa kutoza kiasi cha ($42,800) TZS. Milioni 99.2 Ku-post Tangazo la Biashara.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz