IBRAAH amchana RAY VANNY 'Lecturer somo limemshinda', HARMONIZE asuluhisha 'Sipendi mnapogombana'



Kupitia ukurasa wa Ibraatz harmonize ame comment ujumbe unao mtaka wamalize tofauti zao kati ya Ibraa na RayVanny.

Lakini upande wa pili mashabiki wanasema mbona Hii haijakaa sawa Harmonize kumpambanisha Ibraa na Rayvanny ikiwa Ibraa sio level ya RayVanny.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post