Faiza Ally Amshangaa Fahyma Kutokulia na Kupigania Penzi Lake Baada ya Kuachwa na Rayvanny - EDUSPORTSTZ

Latest

Faiza Ally Amshangaa Fahyma Kutokulia na Kupigania Penzi Lake Baada ya Kuachwa na Rayvanny


Mrembo Faiza Ally ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuhusu Fayma Mama mtoto wa Rayvanny kuwa anashangaa apiganii penzi lake wala kulia baada ya kuachwa na Rayvanny Ambae kwa Sasa yuko mapenzini na Paula, Ikumbukwe Faiza Ally kwa miaka mingi amekuwa akilia na kupigani penzi lake kwa Sugu bila mafanikio yoyote kwani Sugu aliendelea na Maisha yake na ameshaoa mtu mwingine licha ya kuwa na mtoto na Faiza Ally

Faiza Ameandika haya:

Mtoto mdogo kanishida ujasiri kudadeki KEEP SHING BABY GIRL 👧 najutaga kulia 🤦🏻‍♀️ I wish nirudishe machozi yangu yote nilio mliliaga nanihiii 😬😬😬😬

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz