Breaking News: Mashabiki wa Simba Pamoja na waandishi wa habari wanusurika kifo baada ya kupata ajari mbaya Zanzibar - EDUSPORTSTZ

Latest

Breaking News: Mashabiki wa Simba Pamoja na waandishi wa habari wanusurika kifo baada ya kupata ajari mbaya Zanzibar






Mashabiki,Wapenzi na Wanachama wa Simba SC Zanzibar, wanaosherekea ubingwa wapata ajali eneo la Chuini wakati wakielekea Nungwi kushereka Ubingwa na Mafanikio ya Klabu yao.

Miongoni mwa waliopata ajali hiyo ji pamoja na Waandishi wa habari akiwemo Mpiga picha wa ZCTV Mohamed Suleiman ZUNGU, Mwaandishi wa Muungwana Blog Thabit Madai na Mwaandishi wa Michezo wa Island Tv Ismail Ibrahim 


Majeruhi wa Ajali hiyo wapo hospitali ya KMKM kibweni wakiendelea na matibabu na hali zao zinaridhisha.






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz