ABBY Ametolea Ufafanuzi Wa Tetesi za Kusainiwa Lebo Mpya ya Rayvanny - EDUSPORTSTZ

Latest

ABBY Ametolea Ufafanuzi Wa Tetesi za Kusainiwa Lebo Mpya ya Rayvanny


Baada Ya Kuwepo Tetesi Mitandaoni Zikisema Kuwa Huenda Msanii @abby_chams Akawa Amesain Katika Label Ya #NLM Ya Msanii @rayvanny , #ABBY Ametolea Ufafanuzi Wa Tetesi Hizo Na Kusema Kuwa Sio Kweli Bali Ni Wimbo Ndio Amefanya Na Msanii Huyo.

Kupitia #Mgahawa Ya Wasafi Fm #ABBY Amesema........."Picha Zilizosambaa Mitandaoni Nilikuwa Studio Kwa #RAYVANNY Nimerekodi Wimbo Nae Ambayo Naamini Utatoka Siku Za Hivi Karibuni''


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz