Waliowahi Kufanya Kazi za Ndani Saudi Arabia Wadai Walikuwa Watumwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Waliowahi Kufanya Kazi za Ndani Saudi Arabia Wadai Walikuwa Watumwa


Wasichana waliowahi kwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia wakitokea #Kenya wamesema wanakuwa watumwa na hunyimwa Haki zao za Msingi za Binadamu

Madalali na Mawakala wamedaiwa kuingia mikataba ambayo haijulikani na wafanyakazi hao, hali inayoleta sintofahamu kwakuwa wao hupokea ujira mdogo

Mateso wanayopata ni pamoja na kupigwa kikatili na kunyimwa Huduma za Afya ikielezwa, wakiumwa huishia kupewa Panadol na kutakiwa kuendelea na kazi




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz