Vanessa MDEE Ajifungua Mtoto..Mwenyewe Afunguka Haya.... - EDUSPORTSTZ

Latest

Vanessa MDEE Ajifungua Mtoto..Mwenyewe Afunguka Haya....



Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Bongo Fleva @vanessamdee amepata mtoto kutokana na kuwa na ujauzito Kupitia ukurasa wake wa Instagram @vanessamdee amekanusha na kusema muache kupanikisha watu kuwa amejifungua na kuwauliza kuwa aliyewaambia kuwa yeye amejifungua ni nani..?





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz