Unaambiwa Moto Umezuka Katika Kanisa la TB Joshua Wakati Wakiaga Mwili wa Mchungaji TB Joshua - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Moto Umezuka Katika Kanisa la TB Joshua Wakati Wakiaga Mwili wa Mchungaji TB Joshua


Moto umezuka katika kanisa la TB Joshua wakati zaidi ya watu 6,000 walipokusanyika kwa ajili ya kuuaga mwili wa mchungaji huyo aliyefariki dunia Juni 5, 2021. Kanisa hilo limesema hakuna aliyedhurika, na moto ulisababishwa na hitilafu ya umeme. TB Joshua atazikwa Julai 9, 2021.
 

Tazama ROSA REE Akiteswa na SHETANI Hapa Chini:


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz