Unaambiwa Level Ushawishi Aliyonayo Kanye, Hakuna Rapper yeyote Aliye Hai Mwenye Nayo, si Jay Z si Drake - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Level Ushawishi Aliyonayo Kanye, Hakuna Rapper yeyote Aliye Hai Mwenye Nayo, si Jay Z si Drake


Level hii ya ushawishi aliyonayo Kanye, hakuna rapper yeyote aliye hai mwenye nayo, si Jay Z, si Drake wala mwingine yeyote! Numbers don't lie, kaonesha hili kwenye muziki na biashara ya fashion. Licha ya kuzingua kwa misimamo yake ya kisiasa etc na wengi kuhisi atapitiwa na the so called 'cancel culture' Ye amesurvive na kudhihirisha kuwa he's uncancelled.

Ye ni jitu la aina yake tu. Na maisha yake ya mafumbo na kutofanya yaliyozoeleka kwa wengi humuongezea nguvu hii ya ushawishi.

Laiti kama Donda ingetoka leo, music streaming services zingecrush! The anticipation is unbelievable! Wacha tuone ataitoa lini lakini naamini siku yoyote itakapotoka, album hii itaandika historia.

Sky Tanzania

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz