TFF yawaadhibu Morrison, Mukoko Kwa Utovu wa Nidhamu Mchezo wa Simba na Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TFF yawaadhibu Morrison, Mukoko Kwa Utovu wa Nidhamu Mchezo wa Simba na YangaKamati ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limewaadhibu wachezaji Bernard Morrison wa Simba na Mukoko Tonombe wa Yanga kwa makosa waliyofanya katika mchezo wa fainali wa Kombe la Azam Sports Federation Cup(ASFC) ulikutanisha timu zao Julai 25, 2021 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Kwa Mujibu taarifa ya TFF, Morrison amepigwa faini ya sh 3,000,000 na kufungiwa mechi tatu kutokana na kosa la kimaadili, nidhamu na udhalilishaji kinyume na kanuni.

Mukoko ametozwa faini ya sh 500,000 na kufungiwa michezo mitatu kwa kosa la la kumpiga John Bocco.

Naye Kocha Mkuu wa Yanga, Mohammed Nabil, amepigwa faini y ash 500,000 kwa kugoma kuhudhuria mkutano wa maandalizi ya mcheza na waandishi wa Habari.

Katika hatua nyingine Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh 4 milioni kwa makosa matatu tofauti, huku viongozi wakipewa onyo kutokana na kukaidi maelekezo na kuingilia utaratibu uliowekwa katika shughuli ya kugawa medali kwa washindi.

Kwa upande wa klabu ya Yanga imepigwa faini ya sh 4.5 kwa makosa matano tofauti ikiwamo viongozi wake kuingia uwanjani wakitumia mlango usio rasmi na kuambatana na watu wasiokuwa na tiketi.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz