Tanzia: Msanii Kissinger wa Wana Njenje Afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzia: Msanii Kissinger wa Wana Njenje Afariki Dunia
TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, msanii nguli wa Muziki nchini, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (Wana Njenje) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam wakati akipatiwa matibabu.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz