TANZIA Mcheza filamu za ngono maarufu nchini Urusi, Kristina Lisina Afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

TANZIA Mcheza filamu za ngono maarufu nchini Urusi, Kristina Lisina Afariki Dunia


 

Mcheza filamu maarufu nchini Urusi Kristina Lisina Almaarufu Kama KRIS THE FOX usiku wa kuamkia Jana amefariki kwa kile kinachoongelewa ni kudondoka kutoka gorofa ya 22 Kwenye apartment alikokua akiishi uku akiwa ameshikilia sarafu iliyoandikwa maneno "you are always in my heart".

Marafiki wa karibu wa marehemu wanasema huenda marehemu amejiua kwasababu hivi karibuni Kris alkua akisumbuliwa na msongo wa mawazo na matatizo kadhaa kuhusiana na mahusiano yake na boyfriend wake wake Sasa RUSTAN.

Polisi wamesema uchunguz bado unaendelea na wamemshikiria boyfriend wa marehemu kwa mahojiano zaidi anaejulikana kwa Jina RUSTAN.

Ila ushahidi wa CCTV camera kutoka Kwenye jengo husika ulionyesha Kris aliingia Kwenye jengo akiwa peke yake akishikilia mfuko wenye chips uku akitafuna mpaka pale CCTV camera nyingine ilpomuonyesha akiwa anaanguka kutoka gorofani.

Kwa KiFUPI,

Kris the Foxx (klistina Lisina) alizaliwa mwaka 1992 SIBERIA nchini urusi, kabla ajaingia Kwenye tasnia ya filamu alkua mfanyakazi wa bank akiwa na elimu ya Banking and finance kutoka chuo kikuu Cha Moscow nchini urusi.

Atakumbukwa sana kwa mchango wake mkubwa Kwenye tasnia hasa katika kucheza filamu Kwenye mazingira magumu ambapo ni waigizaji wachache Sana wakike waliweza kuzimudu nafasi hizo.

Atakumbukwa pia uhusika wake uliotukuka Kwenye Filamu maarufu zaidi zilizoheat duniani kote alizowahi kushiriki Kama PRIVATE SPECIALS pamoja na YOUNG NYMPHOS 4.

NI PIGO KUBWA SANA KWENYE TASNIA, vilio na majonzi vimetawala pande zote kote duniani.

R.I.P Kris the foxx

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz