Rapa Wakazi Amshukia Harmonize "Harmonize Asacrifice Kidogo ili Awapambanie Walio Chini yake" - EDUSPORTSTZ

Latest

Rapa Wakazi Amshukia Harmonize "Harmonize Asacrifice Kidogo ili Awapambanie Walio Chini yake"

 


Rapa @wakazi leo amebisha hodi mpaka Mbezi Beach Makao Makuu ya Konde Gang Music Label ambapo amezileta salamu zake kwa @harmonize_tz na Label nzima kwa ujumla kuhusu msanii @countrywizzy_tz. Kupitia ukurasa wake wa twitter Wakazi ameandika;

"Konde Gang huwa wanani heshimu sana, and I appreciate them for that. Natamani wazingatie hili... COUNTRY WIZZY ni Almasi with unlimited potential. Wawekeze zaidi kwake with urgency na hawatojutia. Harmonize should sacrifice kidogo ili awapambanie walio chini yake."

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Diamond kuna wakati ali-sacrifice muziki wake for over a year, ili awainue wanae (Konde, Rayvanny, Mbosso, etc) and it paid off. Hata kwa Zuchu amefanya hivyo pia. Nataka nione Harmonize akijitoa zaidi kwa Wasanii wake... Build an Empire!! "

"I commend Harmonize kwa kumshika mkono Msanii wa Hip Hop, maana wenzake hawajafanya hivyo (sijui kwa nini), ila I want to see more. Versatility ya Country Wizzy, Image yake, Nidhamu, etc is enough to cause damage Africa wide. Don't hold him back guys !! Najua mnanisikiliza πŸ™πŸΎ " --- ameandika rapa Wakazi.

Nini maoni yako kuhusu andiko hili? Tuachie comment yako

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz