Mwijaku Afunguka Haya Baada ya Mondi Kuvuta Rolls Royce "Gari Haikupi Akheraa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwijaku Afunguka Haya Baada ya Mondi Kuvuta Rolls Royce "Gari Haikupi Akheraa"


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Twitter Wa @mwijaku Ameandika.....''Nguvu unazo tumia ungeielekeza kwenye ibada na kumnyenyekea Mungu . Ungekua katika daraja zuri . Ila dunia inakuhadaaa na unajisahau . Tusubirie tuone kama hilo gari litakupa msaada wowote akheraa ..! #PepoSioKwapa #RudiKwaAllah #AchaKuvaaMsalaba ''

Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPADownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz