Mwigulu "Wafanyabiashara Msikimbie Nchi Kero zenu Tunazifanyia kazi"



Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Wafanyabiashara waliokimbilia Nakonde nchini Zambia warejee nchini malalamiko yao yatafanyiwa kazi

Kwa maelezo ya Wafanyabiashara ni kuwa wamehamia Zambia kwa kuwa kuna unafuu wa kodi kuliko Tunduma nchini Tanzania

Dkt. Nchemba ameitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wakazi wa Tunduma wakiwemo Wafanyabiashara




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post