Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo ametupa jiwe gizani kwa Marais Waliopita. - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo ametupa jiwe gizani kwa Marais Waliopita.


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo ametupa jiwe gizani kwa Marais Waliopita.

Akihojiwa na Star TV amesema "tuwe waangalifu katika kuchagua muwe mnafuatilia Rekodi, huko nyuma tulichagua Watu ambao walishakwenda kutibiwa Hospitali za Vichaa mtu ana Rekodi ya Milembe halafu mnamuachia Nchi"
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz