Mwanamuziki Diamond Platnumz Katika Picha ya Pamoja na Gwiji wa Biashara ya Muziki Nchini Marekani , Abou 'Bu' Thiam - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamuziki Diamond Platnumz Katika Picha ya Pamoja na Gwiji wa Biashara ya Muziki Nchini Marekani , Abou 'Bu' Thiam


Mwanamuziki @diamondplatnumz akiwa katika Picha ya Pamoja na Gwiji wa Biashara ya Muziki nchini Marekani , Abou 'Bu' Thiam (@__bu ) ambae ni Meneja wa @kanyewest .

Bu Thiam ni kaka wa Mwanamuziki @akon ambae alichangia kwa kiasi kikubwa kumtoa kimuziki, Lakini Pia aliweza kumtambulisha @tpain na kumfanya kuwa Mwanamuziki mkubwa .

Katika Maswala ya Management, Bu aliwahi kuwa Meneja wa @chrisbrownofficial , Lakini Pia Makamu wa Rais (Vice President) wa Lebo Kubwa ya Muziki ya @defjam na kwasasa anasimamia kazi za Rapa @kanyewest .

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz