Mukoko Apiga Magoti Yanga..Awaomba Radhi Mashabiki na Viongozi wa Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Mukoko Apiga Magoti Yanga..Awaomba Radhi Mashabiki na Viongozi wa Yanga
Kupitia Instagram yake ameandika kuwa:

“Nachukuwa fursa hii kuomba radhi mashabiki pamoja na viongozi na benchi la ufundi kwa kilicho tokea katika mchezo Wa final wa yanga vs simba. Kwamba sijakusudia kupewa kadi nyekundu ambayo labda ndo ilikuwa sababu yakupoteza mchezo huo. Naipenda sana team yangu yanga DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💚🧡
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz