Mtoto wa Masoud Kipanya Apumzishwa Katika Nyumba yake ya Milele



Kutoka Makaburi ya Kisuti DSM shughuli ya maziko wa mwili wa mtoto wa Masoud Kipanya, Malcom Kipanya makaburi ya Kisutu Dar es salaam.

Katika mazishi haya yamehudhuriwa na watu mbali mbali wakiwemo CEO wa GSM Ghalib Said Mohamed, Mwigizaji Steve Nyerere, Msanii Ommy Dimpoz, Mtangazaji Millard Ayo, Wafanyakazi wa Clouds Media na wengine. #RIP MALCOM


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post