Morrison Mchezaji Bora Simba - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Morrison Mchezaji Bora Simba

Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison, amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month).

 

Morrison raia wa Ghana amewashinda nyota wawili Nahodha John Bocco na Luis Miqiussone ambao aliingia nao fainali ya kinyan’ganyiro hicho.

 

Mchakato wa tuzo hiyo unahusisha mashabiki ambao ndiyo wenye dhamana ya kupiga kura kupitia tovuti rasmi ya klabu baada ya Kamati Maalumu kuchuja majina matatu kutoka matano ya awali.Moja ya tukio kubwa alilofanya Morrison katika mwezi huo ni lile la kuanzisha mpira kwa haraka na kutoa pasi iliyozaa bao lililofungwa na Miqiussone na kutupeleka fainali ya Azam Sports Federation Cup katika Uwanja Majimaji, Juni 26 mwaka huu.

 

Morrison atakabidhiwa kitita cha Sh 1,000,000 kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium Profile ambao walianza kutoa tuzo hiyo tangu Februari mwaka huu.

Mchanganuo wa kura

Idadi ya kura zilizopigwa 9,356

Morrison amepata kura 6,697 sawa na asilimia 72

Luis amepata kura 1,978 sawa na asilimia 21,

Bocco kura 681 sawa na asilimia saba.

MZEE WA UTOPOLO AWAKA KUELEKEA DERBY, AMLIPUA MANARA “ANABWABWAJA TU “Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz