Miss Tanzania Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kusikia Amevuliwa Taji la Miss Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Miss Tanzania Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kusikia Amevuliwa Taji la Miss Tanzania
Kwa kawaida mshindi wa taji la Miss Tanzania ndiye anapaswa kuwakilisha nchi kwenye mashindano #MissWorld.
.
Kwa sasa anayeshikilia taji ni @rosey_manfere ( Miss Tanzania 2020/2021) na bila shaka alikuwa kwenye maandalizi kwa ajili ya kushiriki Miss World.
.
Mshangao umetokea jana, baada ya @misstanzaniaorganisation (Waandaaji wa Mashindano) kumpost mshindi namba 2 wa mashindano hayo, wakionesha yeye ndiye anakwenda Miss World na sio mshindi @rosey_manfere. Hawajaeleza sababu wala kutoa maelezo.
.
Leo kupitia Twitter, Miss Tanzania @rosey_manfere amesema hana taarifa rasmi kuhusu jambo hilo na kuongeza kwamba suala hilo limefika @basata.tanzania na yeye anasubiri muongozo wao.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz