Mchekeshaji Dullavan Akiri Kutoka Kimapenzi na Jenipher Kanumba... - EDUSPORTSTZ

Latest

Mchekeshaji Dullavan Akiri Kutoka Kimapenzi na Jenipher Kanumba...Kwenye kipindi cha WasafiFm kinacho endeshwa na DivaTheBoss, DullaVan Ashindwa kuficha Hisia zake na kusema ni kweli Jenipher Kanumba alikuwa ni mpenzi wake na alisaidiwa na Patrick Kanumba kumpata..

Amesema walianza kuwa marafiki lakini baadae wakajikuta tu ni wapenzi...Pia amesema kwa sasa wamepeana nafasi kidogo kutokana na ubize walionao Reposted from @udakuexpress DULLAVAN AKILI KUTOKA KIMAPENZI NA JENIPHER. Kwenye kipindi cha WasafiFm kinacho endeshwa na DivaTheBoss, DullaVan Ashindwa kuficha Hisia zake na kusema ni kweli Jenipher Kanumba ni mpenzi wake.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz