Mange Kimambi "Majani Mwenyewe Alisema Paula Alishamjibu Kunya, Sasa Mimi ni Nani Asinijibu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi "Majani Mwenyewe Alisema Paula Alishamjibu Kunya, Sasa Mimi ni Nani Asinijibu"


Reposted from @mangekimambi_ Wabongo mnapenda mambo haya yani nimeamka comments kibao, Mange Paula kakujibu huku 🤣🤣 sasa mlidhani ntachambana na kale katoto? Labda angekuwa karibu yangu ngekachapa na kukadunda hadi katie akili ila sio kujibishana nae.

Majani mwenyewe alisema Paula alishamjibu kunya, sasa mtoto anamjibu babake mzazi ndo asinijibu mimi?


Nafasi za ajira 126 zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Na wale wa comments za Hamisa. Ndo ishaisha hiyo. We talked about it hata kabla sijaingia kulala, tuko poa sana tu. Sometimes hata mtu mzima ukikosea sio mbaya kukubali kosa na kusema sorry. Sorry huwa neno rahisi mnooo kwangu napojua kweli I was wrong. Ndo maana hata mimi ni mrahisi mnooo kusaheme mtu.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz