Mange Kimambi Atoa MPYA "Wabunge Waongoze Miaka Miwili tu, Nafasi za Wabunge Viti Maalumu Zifutwe" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Atoa MPYA "Wabunge Waongoze Miaka Miwili tu, Nafasi za Wabunge Viti Maalumu Zifutwe"Mange Kimambi ameandika haya:

Hata wasiposhinda urais ila bungeni ni muhimu kuwa na upinzani atleast unaokaribia 50%.

Na pia muda wa ubunge upunguzwe uwe only 2 years kama hapa marekani. Hapo wabunge wanakuwa hawa relax hata kidogo. Miaka 5 mingi mnooo. Hapa marekani kuna wabunge special (senate)100 tu hao ndo wanakaa miaka 6. Yani kila mkoa marekani una wabunge special wawili wa kukaa miaka 6. Ila wale wabunge wa majimbo huwa wanakaa miaka 2 tu. Kwahiyo mbunge akichagula leo kesho anaanza kupiga kazi maana tayari anawaza uchaguzi ujao. Kwa hiyo kwa Tz tungekuwa na wabunge special 30 tu, mmoja kwa kila mkoa. Hao ndo tungewapa miaka 5.


Nafasi za Ajira Serikalini Bonyeza HAPA

Nafasi za Scholarships Bonyeza HAPA

Nafasi za Internships Bonyeza HAPA

Mi naona na sisi ili kusonga mbele wabunge wapunguziwe muda. Ila hilo hata upinzani hawatolitaka maana na wao lita waaffect. Watataka katiba mpya tu. Ila sisi wananchi tudai kwenye katiba mpya na muda wa wabunge upunguzwe uwe miaka 2 tu. Rais upunguzuwe uwe 4 years tu. Miaka 5 mingi mnoooo. Na wabunge vitu maalum ife kabisaaaa, tena ipoteeee. Hivi ndo vitu vya kudai kwenye katiba mpya pia ambavyo vitaleta maendeleo.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz