Manara atimiza ahadi yake kwa Mzee Mpili, amkabidhi milioni moja yake - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Manara atimiza ahadi yake kwa Mzee Mpili, amkabidhi milioni moja yake

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa hakuwa na namna ya kufanya zaidi ya kutimiza ahadi ambayo alitoa kwa shabiki wa Yanga, Omary Haji Mpili, maarufu kama Mzee Mpili.
Manara aliahidi kumpa mkwanja ambao ni milioni moja ikiwa Yanga ingeshinda mbele ya Simba, Julai 3.

Kilichotokea ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dk 90, ulisoma Simba 0-1 Yanga jambo lililomfanya Mzee Mpili kuomba apewe pesa yake kwa kuwa hakuomba ila Manara yeye mwenyewe alisema kuwa atampa.

Jana, Julai 7, Manara alitimiza ahadi hiyo kwa kumpa Mzee Mpili milioni moja pamoja na maziwa tukio ambalo lilikuwa mubashara kupitia mitandao yake ya kijamii na kwenye chanel yake ya Manara TV kwenye youtube ameipandisha kazi hiyo.

Manara amesema kuwa mpira sio uadui bali ni urafiki na mambo ambayo huwa yanatokea nje ya uwanja hasa wanapokutana watani wa jadi ni furaha tupu.

"Ninaamini kwamba mpira sio uadui ila ni burudani kwa kuwa niliahidi basi lazima nitimize. Kwa hili hakika Mzee Mpili Kigoma utakwenda tena na ndege nitaongea na viongozi wa Yanga kwani kwa hamasa ambayo umefanya hustahili kupanda daladala," .

Kwa upande wa Mzee Mpili aliweka wazi kwamba mpira sio uadui huku akimuombea kheri Manara na familia yake wapate baraka kwa Mungu.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz