Mamilioni ya Wateja Waacha Kufanya Miamala Kwenye Simu - EDUSPORTSTZ

Latest

Mamilioni ya Wateja Waacha Kufanya Miamala Kwenye SimuMara baada ya Serikali kuanza kukusanya Tozo ya Miamala, mamilioni ya Wateja wameachana na Miamala ya Mtandaoni suala ambalo limethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi

Hisham amesema Wateja wengi walioamua kuacha kufanya miamala kwenye simu ni wa Vijijini ambapo wamefanya hivyo mara baada ya tozo kuanza

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz